USHER AJITAYARISHA KIMAZOEZI KWA AJILI YA KUPIGANA NA SUGAR RAY !

article-0-18A3230D00000578-230_634x419
                 
                     article-0-18A3231100000578-67_634x835

                       article-0-18A3230900000578-913_634x858
Usher yeye ana mpango wa kupigana ndondi na bingwa (Legend) Sugra Ray Leonard katika filamu ijayo ya stone.Usher amekuwa akijifua kisawsawa ili kuhakikisha kuwa mwili wake unafanana na role atakayocheza kwani kupigana na Sugar Ray hata kama ni kwa kuact si mchezo.Ukifuata Diet inayotakiwa pamoja na mazoezi utaweza kuwa na mwili kama huu!