THE GAME SASA KUWA LABEL MOJA NA DRAKE NA LIL WAYNE !

                       
                            THE GAME AKIWA NA OMMY DIMPOZ HOLLYWOOD
Kama tulivyo waletea wiki iliyopita Kutoka jijini Los Angeles wakati DMK Global na Swahili TV walipokutana na kuzungumza na The Game wakati wa Ziara ya Ommy Dimpoz kule California kuwa Rapper  huyo anategemea kujiunga na Cash money,Habari hiyo sasa imetimia baada ya CEO wa Cash Money records Birdman kutweet habari hiyo na The Game kumjibu let's go get them Niggaz.
    Kwa hiyo kwa sasa The Game officially ni lable mate wa Drake,Nicki Minaj,Lil Wayne,Bow Wow na wengine wengi.