R.I.P "SHARO MILIONEA"


HE WAS ONE OF THE MOST TALENTED COMEDIAN FROM TANZANIA.
HABARI  za kusikitisha na kuaminika zilizo tufikia hivi punde na kuthibithishwa na Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe  ni kwamba msanii mahiri wa uchekeshaji na mwanamuziki wa Bongo Fleva Ramadhan Hussein aka Sharo Millionea amefariki katika ajali ya gari kijiji cha Maguzoni Songa, Muheza mkoani Tanga ambapo pia ni nyumbani kwao. Tutaendelea kuwajulisha kadiri tutakavyopata habari zaidi.
MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU.

MOJA YA KAZI ZA MAREHEMU