WATANZANIA WAISHIO UK...TUNAOMBWA TUJITOKEZE KWENYE HARAMBEE!!Watanzania waishio UK mnaombwa kushirikiana kwa kuhudhuria hafla fupi ya kujitolea (harambee) kwa ajili ya kusaidia shughuli za usafirishaji na maziko ya watanzania wenzetu (Fredrick Mtoi na Mariagoreth Ndagio) vilivyotokea London na Luton.

Muda: Saa 11 jioni.
Siku: Alhamisi, 29 Nov.
Mahali: Tanzania High C omission UK
3 Stratford Place Marylebone
WC1  1AS. London

Ushirikiano wako ndiyo mafanikio ya shughuli hii muhimu. Kama hutaweza kuhudhuria tafadhali tuma mchango wako kwenye account ya Jumuiya:
TA (Tanzania Association)
HSBC
Sort Code: 40 05 26
A/C:  41 22 96 72

Jumla ya mchango utakaopatikana utagawanywa sawa kwa wahusika wa pande zote mbili. Iwapo ungependa mchango wako uelekezwe kwenye familia mojawapo tu, tafadhali bainisha kwa kuambatanisha ujumbe (simple note).
Asanteni kwa ushirikiano wenu

Tanzania National Associations (TANZ) UK