MITINDO NITE -3 WITH ALLY REHMTULLAH ,DIANA MAGESSA, IN WASHINGTON (DMV) -SAT NOV 24TH !


TANZANIA'S TOP DESIGNERS -ALLY REHMTULLAH NA DIANA MAGESSA KUWASHA MOTO KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA MITINDO NITE 3 USA YANAYO FANYIKA KILA MWAKA JUMAMOSI YA THANKS GIVING WASHINGTON DC YANAYOANDALIWA NA DESIGNER MA WINNY NA J &P.MMOJA WA WARATIBU WA MAONYESHO HAYO YA MITINDO..MR DICKSON MKAMA ..a.k.a " DMK" AMETHIBITISHA KUWA MWAKA HUU WAMEJIANDAA KWA SHOW YA AINA YAKE AMBAYO MBALI NA TANZANIA  KUNA MADISIGNER KUTOKA NCHI MBALI MBALI ZA AFRICA  NA CARIBBEAN PAMOJA NA SUPER MODELS 16 KUTOKA KAMPUNI YA "IHI MODELING AGENCY",UKUMBI WA KISASA KABISA NA BURUDANI KABAMBE KUTOKA KWA MWANAMUZIKI MAHIRI WA KIKE " HAFSA KAZINJA ".MAONYESHO HAYO YANALETWA KWENU NA MAKAMPUNI YA J&P ENT, DMK GLOBAL PROMOTIONS,NORTHERN ZONE ENT..NA YATARUSHWA LIVE NA VIJIMAMBO TV...MC WA USIKU HUO WA MITINDO ATAKUWA SUNDAY SHOMARI KUTOKA VOICE OF AMERICA !