SINGER "OMMY DIMPLEZ "KUFANYA TOUR AMERICA & CANADA ::


MKURUGENZI MTENDAJI WA MAKAMPUNI YA DMK GLOBAL PROMOTIONS & NORTHERNZONE ENT YENYE MATAWI USA ,UK & TZ, MR DICKSON MKAMA a.k.a Mr "DMK" AMETHIBITISHA HABARI ZILIZOVUMA HIVI KARIBUNI KUHUSU KUSAINI MKATABA NA MWANAMUZIKI ALIYEKO JUU KWA SASA NCHINI TANZANIA "OMMY DIMPLEZ" KWA AJILI YA TOUR ZA NCHINI MAREKANI NA CANADA .AKIZUNGUMZA KUTOKEA WASHINGTON DC BAADA YA KUWASILI KUTOKA TANZANIA,MR DMK AMESEMA KAMA KAWAIDA WAKISHIRIKIANA NA "J & P ENT" WATAWALETEA ZIARA YA MWANAMUZIKI HUYO KIPENZI CHA WENGI ANAYETAMBA NA VIBAO VYAKE KAMA "NAI NAI",BAADAE NA VINGINE VINGI,TAREHE NA MIJI KUTANGAZWA HIVI KARIBUNI PINDI TARATIBU ZOTE ZITAKAPOKAMIRIKA,MENEJA WA "OMMY DIMPLEZ " MR MUBENGA PIA AMETHIBITISHA HABARI HIZI PAMOJA NA PICHA WAKISAINI MKATABA...MBALI NA DIMPLEZ , DMK PIA AMESEMA ZIARA ZA WANAMUZIKI.."BARNABA,SHETTA NA LINAH ZITAFUATA..USA & CANADA KAENI TAYARI....MAELEZO ZAIDI  SIMU  # USA +1 301-661-6207..OR ..TZ +255784715993