MALKIA WA ZOUK TANZANIA HAFSA KAZINJA AMUENZI MUHIDIN MAALIM GURUMO KWA KUIMBA WIMBO WA "NIMUOKOE NANI"

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
                                                      HAFSA KAZINJA -TZ MALKIA WA ZOUK
 Baada ya ukimya wa muda mrefu, Malkia wa Zouk Tanzania, Hafsa Kazinja, anaibuka upya katika fani akiwa na ingizo lake la kwanza kati ya kumi aliyoandaa kwa kuimba wimbo maarufu wa NUTA Jazz Band uitwao “NIMUOKOE NANI” anauouleta hewani katika mahadhi ya Zouk. Hafsa Kazinja anasema ameamua kurudi ulingoni kwa kutoa wimbo huo ili kumuenzi Mzee Muhidin Maalim Gurumo ambaye amestaafu rasmi fani ya muziki baada ya kufanya kazi hiyo akiwa na bendi mbalimbali tokea mwaka wa 1960. “Nimeamua kuimba wimbo huu wa “NIMUOKOE NANI” ili kumuenzi gwiji huyu wa muziki kwani wakati yeye anastaafu na mimi ndiyo naibuka upya baada ya kukaa kimya kwa muda”, anasema Hafsa ambaye alitoka kwa wimbo wake wa “PRESHA” aliomshirikisha Banana Zorro.

 Hafsa ameandaa wimbo huo wa “NIMUOKOE NANI” katika studio za OM Productions ya jijini Dar es salaam chini ya wanamuziki nguli, Abdul Salvador na Omari Mkali. “Nafurahi kwamba wimbo wa NIMUOKOE NANI nimeuimba baada ya kupata Baraka zote toka kwa mtunzi na mwimbaji wake Mzee Gurumo mwenyewe. “Haikuwa rahisi kama inavyoweza kudhaniwa kwani baada ya kwenda kumuona nyumbani kwake alinifanyisha mtihani wa kuuimba wote kabla ya kuridhika maana alisema asingefurahi

POZ KWA POZ " TEAM OMMY DIMPOZ " TUPOGO -WASHINGTON DC SEPT 21.....HOUSTON SEPT 28.....CALIFORNIA OCT 5 !!




MISS NEW YORK WON MISS AMERICA 2014.. SHE IS THE FIRST INDIAN EVER TO WIN !

missamyellow
Miss New York Nina Davuluri, center, reacts after being named Miss America 2014 pageant as Miss California Crystal Lee, left, and Miss America 2013 Mallory Hagan celebrate with her, Sunday, Sept. 15, 2013, in Atlantic City, N.J
After a night of big numbers, long evening gowns, tight swimsuit strutting, dancing, singing and, yes, answering those tough judges' questions (including ones about Miley Cyrus and Syria!), the 53 Miss America contestants (50 states, District of Columbia, Puerto Rico and the U.S. Virgin Islands) were narrowed down to one winner.
Miss New York Nina Davuluri, 24, from Syracuse, sashayed off with the tiara and the $50,000 scholarship cash. She performed a Bollywood fusion dance (after missing her cue at first) and answered a question about plastic surgery. ("Be confident in who you are!") She hopes to become a doctor, like her father, who is an obstetrician in Fayetteville, Mich. She once battled bulimia, according to a SYRACUS.COM July story, and is the first Indian-American to serve as Miss New York/ She is the first Miss America winner of Indian descent.

P SQUARE WAACHA GUMZO WASHINGTON DC

       



           
PAUL wa P Square alivyo dondosha Suluali yake jukwaani..Diamond alishawahikufanya hivi kwenye fiesta magazeti yakamwandika vibaya sana..lakini hii ndiyo SHOW BUSINESS.






                               Photoz Mchanganyiko kutoka kwa Mwandishi wetu na Vijimambo.




TAMAR BRAXTON ASHIKA NAMBA MOJA KWENYE CHART YA BILLBOARD !

      
           Mdogo wake Tony Braxton huyu ameshika namba moja kwa mara ya kwanza kwenye Chart za R&B za Billboard baada ya kuachia album yake mpya wiki iliyopita.
           Mwanadada huyu ameolewa na Super Producer wa muziki hapa marekani hivyo ni hki yake akishika namba moja kwenye chart.Hii ni album yake ya pili itakumbukwa ile ya kwanza haikuwa na mafanikio kabisa.
Hongera Tamar Braxton!

ALICIA KEYZ.....AZIDI KUPENDEZA SUMMER HII!


                                                                            So beautiful Alicia

                   Picha hizi zilionekana kwenye Instagram..na zilikuwa na likes nyingi mnooooooooooo.

PICHA HIZI ZILIWEKWA NA MUMEWE SWIZZ BEATZ AKIMSIFIA MKE WAKE HUYO

NAFASI ZA KAZI "MMK MEDIA GROUP" USA & AFRICA .

Kampuni ya MMK MEDIA GROUP
Inayomiliki SWAHILI TV,SWAHILI RADIO ONLINE, SWAHILITV.BLOGSPOT.COM na DMK11.BLOGSPOT.COM Inatangaza nafasi za kazi kwa watu wa masoko na matangazo.
Wenye uzoefu na wanaojituma.
Maombi ya kazi yatumwe katika 
email
career@mmkmediagroup.com

BEYONCE & JAYZ TOOK A VERY LUXURIOUS VACATION FOR BEYONCE'S 32 BIRTHDAY IN SPAIN !


THEY SAY Y.O.L.O ..YOU DONT NEED ME TO SAY MORE THE PICS SPEAKS LOUDER!











BEYONCE WRITTING BLUE IVY NAME ON THE SAND...THINGS RICH PEOPLE DO ..LOL

NICKI MINAJ AKANUSHA KUWAHI KULALA NA GUCCI MANE !


Nicki Minaj amekanusha vibaya kuwahi kutoa penzi lake kwa Gucci Manie ambaye jana aliitumia twitter yake vibaya nakudai kuwa alisha wahi kulala na wanawake wengi akiwamo Nicki,Monica,Taraj P Hansen,Ciara wakati akiwa anatoka na 50 Cents.
     Gucci pia aliwatukana marapper wengine wengi akiwemo Wacka Flaka,T.I,Rocko,Young Jizzy na Drake ambaye alisema Drake ni Instagram Groupie.Inaonekana Gucci amelianzisha beef na watu wote hawa wa Dirty South Mitaa ya ATL je ni kweli yote haya au alikuwa tu anatafuta Kiki???
     Swahili TV inaingia mitaa ya ATL kutafuta ukweli natutawaletea kitakachojili maana inasemekana T.I kachukia sana kwani Gucci alimwita pia Mke wa T.I Tiny very Ugly!

JE RIHANNA NA NICKI MINAJ WANATOKA KIMAPENZI??


RIHANA AKIWA AMEPOZI NA NICKI MINAJ ! PICHA HIZI ZIMEZUA GUMZO baada ya Riri kuwasili kwenye Party ya Mercedes Benz akiwa na Nicki kama vile mtu na mpenzi wake,Gumzo limezuka kutokana na hivi mwezi uliopita Rihanna kusema Hadhalani kuwa yeye anapenda kutoka na mwanamke mwemzie......Je matatozo yake n Chris Brown yamemfanya achukie wanaume kabisa??....Tunalifuatilia hili !