UCHAGUZI WA VIONGOZI TAWI LA WASHINGTON DMV JUMAMOSI TAREHE 16 !



Email address:ccmwashdc@gmail.com

TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAWI LA CCM DMV
Ndugu Wana CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano wa uchaguzi bila kukosa,
 Ni nafasi ya kuwachagua viongozi wako utakao wapenda kujenga Chama imara.
SIKU: JUMAMOSI Machi 16, 2013
MUDA:  SAA 10 JIONI (4pm)
MAHALI: TUTAWATANGAZIA
 Ili uweze kupiga kura hakikisha una kadi yako ya Chama na uwe mwanachama hai, na kama huna kadi au umepoteza tafadhali wasiliana na Katibu wa Tawi wa muda
Yacob Kinyemi, Simu (202)-629-7841, email: yacob1972@yahoo.com

Nafasi zinazowaniwa ni:
1) Mwenyekiti wa tawi
2) Katibu wa Tawi
3) Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Tawi
4) Katibu wa Fedha na Uchumi wa tawi
5) Mwenyekiti wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
6) Katibu wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
7) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT)
8) Katibu wa Jumuiya ya Wanawake ya Tawi (UWT)
9) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Tawi
10) Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Tawi

SIFA ZA MGOMBEA:
1.       Awe na umri kuanzia miaka 18
2.       Awe mwachama wa CCM mwenye kadi
Fomu za kugombania nafasi za uchaguzi ziwakilishwe kwa M/Kiti ( HIDAYA MAHITA)wa Kamati ya Uchaguzi kwa njia ifuatayo:
Fax: 1(888)835-5784     Email: ccmwashdc@gmail.com
Mailing address: 1709 HAMPSHIRE GREEN LANE#33 SILVER SPRING MD 20903


MWISHO WA KUCHUKUA NA KURUDISHA FOMU HIZO NI  TAREHE 8 MARCH 2013