NICKI MINAJ AKANUSHA KUWAHI KULALA NA GUCCI MANE !


Nicki Minaj amekanusha vibaya kuwahi kutoa penzi lake kwa Gucci Manie ambaye jana aliitumia twitter yake vibaya nakudai kuwa alisha wahi kulala na wanawake wengi akiwamo Nicki,Monica,Taraj P Hansen,Ciara wakati akiwa anatoka na 50 Cents.
     Gucci pia aliwatukana marapper wengine wengi akiwemo Wacka Flaka,T.I,Rocko,Young Jizzy na Drake ambaye alisema Drake ni Instagram Groupie.Inaonekana Gucci amelianzisha beef na watu wote hawa wa Dirty South Mitaa ya ATL je ni kweli yote haya au alikuwa tu anatafuta Kiki???
     Swahili TV inaingia mitaa ya ATL kutafuta ukweli natutawaletea kitakachojili maana inasemekana T.I kachukia sana kwani Gucci alimwita pia Mke wa T.I Tiny very Ugly!