DESIGNER MAARUFU MTANZANIA NDUGU SHERIA NGOWI AMVALISHA RAIS MPYA WA ZAMBIA KWENYE INAUGURATION JIJINI LUSAKA.
 Rais Mpya wa Zambia Ndugu Edgar Lungu wakati akiapishwa Jijini Lusaka Zambia akiwa amevalishwa Suit Maridadi ya Black Label  ya Designer Mtanzania Sheria Ngowi,ambaye hivi karibuni tutaanza kumuona Rais wa Tanzania Ndugu JK na Waziri Mkuu Ndugu Pinda nao wakianza kuzivaa kwani Ngowi tayari ameshachukua Vipimo vyao.