OFFICIAL PHOTOS :- NDANI YA UKUMBI ILIVYOKUWA USIKU WA UHURU NA DIAMOND PLATNUMZ WASHINGTON DC DEC 6 #UKODAKIMOMENT

Mapromota Walioandaa Party ya Uhuru  Washington DC Katika Picha Na MHE. Balozi Mulamula 
kutoka kushoto ni  DMK , Balozi Mulamula , Innocent ,Phanuel
        Mhe Balozi akiwasili akiongozana na Waandaaji Bwana DMK na Bwana Innocent

              Mhe Mbunge  Leticia Nyerere katika meza moja na Promota Phanuel


           
GROUP LA "DMV ALL STARS" WALIBURUDISHA NA WIMBO  MAALUMU WA UHURU "NAJIVUNIA" AMBAO ULIKONGA NYOYO ZA WATU WENGI KABLA YA DIAMOND

HII NI VOL 2 ,Picha ni nyingi Sana,Kesho tutawaletea VOL 3 Wakati ambapo Mwanamuziki anayeipeperusha vyema Bendera ya Tanzania DIAMOND PLATNUMZ akifanya kilichomleta.