MAMBO SHWAAAARI -UFUNGUZI WA SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC APRIL 11- AHSANTENI SANA DMV !


SAFARI MPYA KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA
ELEVATED TO THE STANDARD

MDAU AKISOMA MENYU-CHAGUA KUKAA NDANI AU NJE NI WEWE TU 
SIKU YA UFUNGUZI ILIENDA VIZURI
WAMAREKANI NA WAAFRIKA WAJUMUIKA PAMOJA 
WAKENYA NA WATANZANIA NDANI YA NYUMBA
KINADADA WA DC WAKIPATA MENYU KWA NJE
MAKAMANDA WA DC WALIWAKILISHA VYEMA UFUNGUZI
Management Mpya ya Safari inapenda kutoa Shukrani kwa wale wote walioweza kufika katika siku hii ya ufunguzi wa New Safari Restaurant DC,"Words can not Explain"
Bila kuwasahau wale ambao walishindwa kufika kwenye siku hii ya ufunguzi tunapenda kuwakaribisha pindi mpatapo nafasi kwani sasa tunafungua kila siku kasoro jumatatu tu.
LADIES AND GENTLEMEN SAFARI IS NOW OPEN FOR BUSINESS.