SHILOLE KUOLEWA NA MWANAMUZIKI MWENZIE?


Wasanii wa kizazi kipya Shilole na Nuhu wamesema kuwa wanapendana sana na wako tayari kufunga ndoa.
Wakizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds,Nuhu alisema yeye yuko real kwa Shilole ndo maana anampenda sana na wamekuwa kwenye mahusiano kwa mieazi mitatu sasa.

Je Ndoa itatokea kweli maana itakumbukwa pia Shilole aliwahi kusema atafunga ndoa na mwanamuziki mwingine Barnaba lakini haijatokea hadi leo.Endelea kutembelea blog yako tutawaletea habari zozote zitakazopatikana kuhusu uhusiano wao.