KANYE NA MKENYA


                         12 Year a slave imeziki kumpaisha Mkenya huyu LUPITA NYONG'O
Baada ya Juzi kuchukua tuzo ya best supporting actress kwenye critics awards....jana usiku amechukua tena nyingine kwenye SAG awards..hapa anaonekana katika picha ya pamoja na Yesuz