DIAMOND...BAADA YA DAVIDO NA IYANYA DIAMOND SASA KUFANYA COLLABO NA FLAVOUR!

 
Baada ya remix ya My Number One aliyomshirikisha Davido haimtoshi Diamond Platnumz kwakuwa bado anatarajia kudondosha nyingine. Tayari ameshafanya collabo na Iyanya huku akiipigia hesabu pia collabo nyingine na hitmaker wa ‘Nwa Baby, Mr Flavour. Akizungumza na Capital FM jijini Dar es Salaam, Diamond amesema safari ya Nigeria imempa connection nyingi. “Nigeria wanaitaka market ya East Africa na yeye yuko tayari kuwaonyesha kwa njia ya Collabo......Keep it up Diamond.