TOP 20 YA MJ FM ARUSHA-RICH MAVOKO AMKIMBUIZA DIAMOND KILELENI!


Hii ndiyo chart yetu Mambo Jambo Radio 93.0 FM kwa wiki hii ambapo kama inavyonekana kwenye picha hapo kwa wiki hii ngoma ya Ric Mavocco ROHO YANGU imeibwaga ngoma ya Diamond NUMBER ONE na kuichukua nafasi ya kwanza.

Kupigia kura ngoma yoyote ili ipande au iingie kwenye Chart yetu hii Unatuma ujumbe Mfupi ukianza na herufi KWT unaacha nafasi unaandika jina lako kisha andika jina la wimbo unaoupendekeza na utume ujumbe wako kwenda namba 15678
KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA UKRASA WA MJ FM ARUSHA FACEBOOK HAPA >>https://www.facebook.com/MamboJamboRadio930Arusha