DIAMOND APOST KWENYE INSTAGRAM YAKE BEHIND THE SCENE PHOTO YA VIDEO SHOOT YA REMIZ YA MY NUMBER ONE!           diamond2
Diamond aliandika hii caption , “Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama vyema katika ramani hii ya muziki worldwide na kuipa sifa na heshima zaidi East Africa yetu. Eeeh Mwenyezi Mungu ibariki Tanzani, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla. #LastNight #Onset #NumberOneRemix#DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera
Kwa mara ya kwanza Diamond amekuwa ndiye msanii wa kwanza kufanya Video na Dorector maarufu wa Nigeria ambaye amefanya video za wasanii wakali wa africa kama P Square na wengine wengi.
Big Up brodaaaaaaaaa!