BREAKING NEWS KUHUSU KIFO CHA NGWEA/ LINGINE LILILOTUFIKIA HIVI PUNDE KUUSU M2-THE-P


chanzo chetu cha habari kinatupasha kua marehemu Albert Mangwea alikua na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD, habari zinasema kua M2-THE-P nae hali yake sio nzuri na yuko mahututi katika chumba maalumu (I.C.U) ambapo madaktari wamethibitisha kua matumaini ni hafifu ya uhai wa M2-THEP pia.."hali yake sio nzuri, tumemuwekea mashine ya kupumua na yuko kwa uangalizi wa kina kwa muda wa masaa sita nbaada ya hapo tutaweza kusema nini hatima yake kwa sasa ni hayo tu" - Daktari amenukuliwa..
..endelea kua nasi ambapo tutakujuza zaidi kwa yakini nini sababu ya kifo cha mangwea na nini kimemkumba M2THE-P  na alikua na ngwea mpaka mauti yanamfika.....