DIAMOND NA NAY WA MITEGO WAKIJIANDAA NA COVER PHOTO YA "MUZIKI GANI"

Hii Ndio Cover Photo ya Nyimbo ya Nay wa Mitego Aliyonishirikisha Mimi Jina La Wimbo Likiwa ni Muziki Gani...Ndani ya wimbo huo ukiwa na Mengi Manuwia Na Mengi Misemo yakupondana Lakini
kiukweli ni Vionjo tu vya Nyimbo na Kuleta Ladha Nzuri ya Muziki wa Bongo Flavour na Hiphop......!!Zifuatazo ni Picha kadhaa tulizopiga kwa Ajili ya Cover ya Nyimbo Hiyo

Safari ilianzia Home Sweet Home Sinza....!!
kwa picha zaidi bofya read more



Anzoo Mafia & QBoy Mnyama walikuepo Pia kutoa Mchango
wa Mawazo Unyama Gani Ufanyike Juu ya CoverPhoto Hiyo..!!
Ney wa Mitego akiwa Tayari kwa Picha...yanii Light On......
Diamond akijiweka Sawa Kwa Ajili ya PhotoShoot
Qboy Mnyama Akianda Light kwa ajili ya Photoshoot.
Maandalizi yakiendelea...mwanangu wa damu QBoy akiniweka 
Sawa.....Ts All About Kuwa Msafii....!!
Picha kwa hisani ya This Is Diamond Website