DIAMOND ALIVYOPAGAWISHA UKEREWE !!!



Ilikuwa Moja ya Show zangu kwenye Tour yangu ya kanda ya Ziwa
na Hii Ilikuwa Ukelewe Tarehe 15 mwezi wa 3 mwaka huu
.....Nashukuru Mungu Show ilienda Safi
Na wananchi wa Ukelewe walipokea viilivyo Ujio wa Rais
wa Wasafi na Nilikihamsha Kisafi Zaidi...

Zifuatazo ni Picha za Matukio ya Usiku Huo Ukelewe
na Crew nzima ya wasafi...!!
RAMA MPAUKA & MOSES IYOBO....
Umati wa watu walijitokeza kumsubiria President wa Wasafi
ukumbini....watu hadi kwenye Mitii...



Wachafuuuu wakianza Ustarabu wao Stejini....






Yanii....Hivii....Vile...kama kawaida yetu...!!


Ulinzi ulihimarishwa na Jeshi La Polisi la Tanzania...Ukumbini hapo
















Huu ulikuwa umefika Muda wa Kulewa time....
wananchi wa ukelewe wliokuwepo ndan ya Ukumbi walishindana
kulewa kwa style hiyo...















Watu walikuwa busy na simu zao na Kupiga
picha na  kurekodi matukio Muhimu
Huku Show zikiendelea...Ni Mambo ya Digital TU

Nikiwashukuru Mashabiki wangu kwa kushow Love Kwangu
AMANI NA UPENDO NDIO LUGHA YA KWETU KIGOMA