OMMY DIMPOZ ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI NA KUKUTANA NA BALOZI MAMA MULAMULA NA MAOFISA UBALOZI!

    Mwanamuziki Ommy Dimpoz akitia Signature kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania Washington dc

Ommy Dimpoz akiwa na Mheshimiwa Balozi Mulamula na Promoter wake DMK ambaye pia ni Mkurugenzi wa MMK Media Group kampuni inayomiliki Swahili Radio online,Swahili Tv online,Swahilitv blog,na DMK411 blog
Mheshimiwa Balozi katika Poz na Poz kwa Poz 
Dimpoz katika Picha ya Pamoja na Maafusa wa Ubalozi wa Tanzania washington dc
Afisa Habari wa Ubalozi Mindy Kasiga Akimpa Historia fupi Mwanamuziki huyo ya Mabarozi mbali mbali waliopita kabla ya Mheshimiwa Mulamula.
Tangu uhusiano wa Tanzania na Marekani kuanzishwa ni mabalozi 15 tayari wamekwisha litumikia taifa akiwemo balozi wa sasa.
Dimpoz aliitumia Fulsa hii Vyema kuongea na Balozi na Maafisa wa Ubalozi kuhusu Changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana wa kitanzania ikiwa ni pamoja na matatizo yanayowakabili wasanii ikiwa ni pamoja na maharamia wa kazi za wasanii ambapo Mheshimiwa Balozi alihaidi kusaidia kulitafutia ufumbuzi napia kusaidia uwezekano wa kurahisisha upatikanaji wa muziki wa Tanzania kupitia mitandao kama ya i tune na Amazon.
Mbali na Mabo ya Kazi Dimpoz pia aliwafurahisha Maafisa wa Ubalozi kwa Stori mbali mbali za maisha yake.

TANZANIA HOUSE (UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI)