WAMAREKANI WACHEZA MOVIE NA WATANZANIA INAITWA-GOING BONGO !


Movie hii ni kasheshe tupu, changamoto alizokutana nazo daktari bingwa Mmarekani Dr. Lewis Burger  aliyekuja kufanya kazi kwa muda mfupi nchini Tanzania, nafasi iliyochezwa na Ernest Napoleon kutoka Marekani. Ndani ya Movie hii wapo mastaa maarufu kama Sauda Simba Kilumanga, Ahmed Olutu "Mzee Chilo" mchekeshaji Evans Bukuku, Amby Lusekelo na McDonald Haule. Movie hii inatoka Desemba 2013.