NYUMA YA PAZIA-R.KELLY.LIL WAYNE,BIRDMAN WAKIFANYA VIDEO YAO MPYA YA WIMBO WAO WA "WE BEEN ON"


Mwanamuziki Super Star R.Kelly akiwa katika moja ya Pozi ya Video shoot na Birdman wa Cash Money wakati wakufanya Video ya wimbo wao Mpya unaoitwa "WE BEEN ON" Ulioimbwa na R.Kelly,Birdman na Lil Wayne.         Kutokana na muonekano wa picha hizi tulizozipata inaonekana Video hiyo itakuwa balaaaaaaaaaaa..endelea kutembelea blog yetu tutailisha pindi tu itakapo toka.