
MR AFRICA WINNER JAYDON ANDERSON KUTOKA BOTSWANA

Hawa ni Baadhi ya washinriki wakiwa wamevalia mavazi yao mbali mbali

Katika Mashindano hayo mshindi wa Pili alikuwa ni Mr Gabon ndugu Williams na nafasi ya tatu ilishikwa
na Mr Ghana ndugu Guiseppe Nkansah.
Je ni lini Mr Tanzania ataingia kwenye mashindano na kuingia Top Ten?