BAADA YA MVT AWARDS,MKE WA ROBIN THICKE PAULA PATTON ATAKA KUMSHUSHIA KIPIGO MILEY CYRUS!

Thicke's wife, Paula Patton, wasn't bothered by seeing her husband perform the salacious number with Miley Cyrus.
   Paula Patton Mwanadada Mcheza Sinema maarufu na Mke wa Mwanamuziki wa Marekani Robin Thicke Inasemekana alitaka Kumpiga Mwanamuziki Miley Cyrus ambaye alifanya Show na Robin Thicke kwenye
Sherehe za MTV awards.
   Miley aliacha gumzo kwa kila mtu baada ya kuangusha ile dance inayojulikana kama (Twerk) ambayo kwa sasa  ndiyo imekuwa kama utambulisho wa Myiley.Baada ya MTV awards kuisha inasemekana Paula alimfata Miley nakutaka kumrukia kutokana nakile kilichosemekana kuwa hakupenda Miley kumkatikia Mume wake vile.

     Kama inavyoonekana kwenye picha Robin Thicke akiwa anachezewa na Miley ,kitendo ambacho kilimuudhi mke wa Robin Thicke Paula Patton.Inasemekana kuwa watu ilibidi waingilie kati kumvuta Paula ili asimpe kipigo Miley.
    Lakini chakushangaza ni kuwa kwanini Paula alikasirishwa na Miley??? wakati Show hiyo ilipangwa na Mume Wake???