VIWANJA VYA LEADERS VINAVYOONEKANA VIKIWA TAYARI KWA AJILI YA KUUAGA MWILI WA MANGWAIR !!
Leaders Club kila kitu kinakwenda sawa kabisa na kama mnavyoona steji imekamilika na kupambwa vizuri ili watanzania waishio Dar es Salaam wapate nafasi yakutoa heshima zao za mwisho kwa ndugu yetu Albert Mangweha na baada ya kuuaga basi safari yakuelekea Morogoro itaanza.
HABARI HIZI KUTOKA KWA MSEMAJI WA KAMATI "DJ CHOKA"