KIJIWE CHA UGHAIBUNI -BY VIJITHINGS !



 Kutoka kushoto Yasin Randi, Mwinyikheri Mkwavi ambae alikua mgeni mualikwa na Benja Mwaipaja wakiwa tayari kukuletea kipindi chako ukipendacho na gumzo la mji KIJIWE CHA UGHAIBUNI hapo leo Jumanne March 12, 2013
Yasini, Mkwavi, Benja na Jabir Jongo wakiendelea na kipindi cha KIJIWE CHA UGHAIBUNI tayari kabisa kuwarushia leo Jumanne  USIKOSE