NAS & DAMIAN MARLEY KUPGA SHOW TANZANIA-DAR NA ARUSHA FEB15 NA 16 !


Rapper Nas na mtoto wa mwisho wa hayati Bob Marley, Damien Marley wanatarajia kutua nchini Tanzania siku chache zijazo kwenye ziara iliyopewa jina la Damian Marley-Nas Africa Tour”.
Mastaa hao wana albam ya pamoja iitwayo “Distant Relatives” ambayo kwa sasa ndio albam ya reggae inayouza zaidi katika soko la kimataifa ambapo mpaka sasa imeshauza kopi milioni 5.
Nchi zingine ambazo Damian Marley na Nas wameenda ama wataenda ni pamoja na South Africa, Ethiopia, Uganda, Rwanda, Zimbabwe, Nigeria na Ghana.Watapiga show mbili kwenye kila nchi.