
Hizi ni picha ambazo Diamond ameziweka kwenye website yake na kuandika kwenye moja ya picha hizo: Siku zote kabla ya kwenda popote lazima tupitie kwa mama yetu mpendwa atupe Barka zake na nyingine hiyo juu akiandika: Nikipokea baraka za Mama ….Nijaliwe Mema….na Niende kwa Amani…!!

Hakuna kama mama....Mtakalia madawa madawa...hakuna madawa zaidi ya baraka za mama...hata Neno la Mungu linasema waheshimu Baba na Mama yako siku zako zipate kuwa nyingi
MAISHA CLUB SIKU YA UZINDUZI WA VIDEO YA OMMY DIMPOZ "ME & U"