MJ FM ARUSHA YAPATA PIGO LA KUFIWA NA DJ WAKE MAARUFU "DJ BUPE"


AKIZUNGUMZA C.E.O WA MJ FM NDUGU JULIUS MAKIRI  AMESEMA MAZISHI NI Leo tarehe 19 january  pale katika makaburi ya Njiro Arusha Kuanzia saa Nane Mchana......

Wapenzi wote wa MJ FM Mnakaribishwa Kushiriki kwa pamoja Tumsindikize Bupe Na kuanzia saa Nne asubuhi Mwili wake utaagwa pale kwao Majengo Elirai na Sala pia itafanyika pale