T.I.D..AMWITA ALI KIBA MAJINA HAYA..SHOGA,GIRL,HOMO ...JE KUNA UKWELI?


Hit-maker wa Kiuno, Khalid Mohamed aka TID mara nyingi amekuwa akitumia mitandao ya kijamii kueleza hisia zake hasa kuhusiana na muziki.
Leo kupitia Facebook TID amekumbushia lile sakata la kudaiwa kupanga njama za kumuua mwanamuziki mwenzake, Ali Kiba na kumuuita ‘shoga’ yule aliyemzushia hivyo.
“Stupid Thing Ever Happened in Bongo Music Scene is this Homo mentioned me Trying to Kill Him while am only thinkin about this Girl…No Homo,let’s make Hits,” ameandika.
Aliongeza, “Can’t forgive weak people the whole family came into my house as if I ever had any arguments before nau wat……nobody kill them.”