MAANDALIZI YA MAMBO JAMBO RADIO "FUNGA MWAKA X-MAS CONCERT ARUSHA YAMEKAMIRIKA !

 LIFESTYLE | FASHION | ENTERTAINMENT


MJ FM RADIO CHIEF EXECUTIVE OFFICER (CEO) JULIUS MAKIRI
NDUGU JULIUS MAKIRI  AKIJIBU MASWALI KUTOKA KWA WANANCHI WALIOJITOKEZA KUANGALIA MAANDALIZI
CEO WA MAMBO JAMBO RADIO ARUSHA AKIONYESHA BAADHI YA UNIFORM ZA MAMBO JAMBO ZILIZOWASILI KUTOKA MAREKANI
MAANDALIZI YA LILE TAMASHA LINALOSUBIRIWA KWA HAMU JIJINI ARUSHA LA "FUNGA MWAKA CONCERT " NA X-MAS LITAKALOFANYIKA JUMAMOSI HII NDANI YA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID YAMEKARIBIA KUISHA,WATU WAMEKUWA WAKIJITOKEZA KWA WINGI KUANGALIA SHUGHURI ZINAVYOENDELEA NA WENGI WAO WAKIHOJIWA WAMEONYESHA SHAUKU KUBWA SANA YA KUSUBIRI SHOW HIYO.AKIZUNGUMZA KUTOKEA ARUSHA C.E.O WA MAMBO JAMBO RADIO NDUGU JULIUS MAKIRI AMESEMA KILA KITU KIPO,SOUND TAYARI IMEISHA FIKA KUTOKA MAREKANI,STAGE LIGHTS NA STAGE KWA UJUMLA PIA VIMEISHA FIKA,SOUND ENGINEERS WAKO TAYARI WAKISHIRIKIANA NA WAKALI WA SOUND KUTOKA JIJINI NAIROBI,USIKOSE FUNGA MWAKA JUMAMOSI HII YA TAREHE 22 KUTAKUWA NA WAKALI KIBAO KUTOKA ARUSHA NA WENGINE WENGI !