WANAMITINDO - ALLY REHMTULLAH,DIANA MAGESSA KUPAGAWISHA MITINDO NITE-3 WASHINGTON,DC,ALONG SIDE MWANAMITINDO MA WINNY CASEY,SAT-NOV 24


PROMOTERS "DMK" NA "J&P" WAMETHIBITISHA KUWA MWANAMUZIKI HAFSA KAZINJA KUTOA BURUDANI KABAMBE AKIPIGA  LIVE SHOW NA BAND..ITAKAYO WASHIRIKISHA WANAMUZIKI MAHIRI KUTOKA ZAIRE,NGUMA LOKITO,JOHN BASH,RICHARD,MIKE NA MICHA.MITINDO SHOW ITAANZA SAA TATU USIKU,TIKETI ZOTE KUUZWA MLANGONI KWA KIINGILIO CHA DOLLAR $25 TU..FIKA MAPEMA USIPITWE NA BURUDANI YOYOTE.