AY WINS 'MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO' @ THE CHANNEL O MUSIC VIDEO AWARDS 2012...!!!

                 

AY ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya wanakwenda kwa jina la Sauti Sol. HONGERA SANA AY KWA KUMEIPEPERUSHA BENDERA YA BONGO FLEVA...Pia Pongezi kwa CPwaa Mtanzania Mwingine aliyekuwa nominated kwenye awards hizo.!!!

                                                           VIDEO ILIYO WIN HII HAPA