USIKU WA NDEGE MNANA "LINAH" LIVE WITH A BAND NDANI YA "NEW MAISHA CLUB" JUMAPILI HII PIA KUZINDUA VIDEO YAKE MPYA ALIYOFANYIA MAREKANI NA MWANAMUZIKI "AJ UBAO"


LINAH..JUMAPILI HII KWA MARA YA KWANZA JIJINI DAR-ES-SALAAM BAADA YA KUMALIZA TOUR YA AMERICA ATAANGUSHA SHOW KABAMBE AKIPIGA KILA WIMBO NA LIVE BAND,PAMOJA NA BURUDANI HIYO LINAH ATAZINDUA RASMI VIDEO MPYA YA " AJ UBAO NA LINAH" ILIYOTENGENEZWA MAREKANI,PIA MA SUPERSTAR WENGINE WA BONGO FLEVA WATAKAO MSINDIKIZA USIKU HUO NI,,MWANA F.A,DITTOAMINI  NA COUNTRY BOY.
                                      NEW MAISHA CLUB
                                      KUANZIA SAA 3 USIKU
                                      KIINGILIO TSH- 7000