R.I.P. MAFISANGO...MCHEZAJI WA SIMBA AFARIKI DUNIA ALFAJIRI HII KWA AJALI YA GARI !


 Habari zilizopatikana zinasema Mchezaji hyu mahiri wa Simba amefariki dunia alfajiri ya leo kwa ajari ya gari wakati akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake!....Mungu aiweke proho yake mahali pema..MIMI Yanga Damu lakini tutakukumbuka sana kwa Ustadi wako wa kusakata kabumbu!.......Habari zaidi tutawaletea!