MAMA KANUMBA AKISALIMIA MAELFU YA WATU WALIOFIKA KUMUAGA MWANAE

MAMA AKIMUAGA MWANAE KWA MARA YA MWISO..OUR HEARTS & THOUGHTS ARE WITH THE FAMILY.




GARI LA MAREHEMU LIKISUKUMWA HADI KINONDONI MAKABURINI


HILI NDIO KABURI LA MAREHEMU KAMA LINAVYO ONEKANA

MWILI WA MAREHEMU UKIWEKWA KABURINI SASA
KABURI LIKIWEKEWA SAKAFU SASA LIKIFUNIKWA
LIKIWA LINA MALIZIKA KUSAKAFIWA
MILLEN MAGESSE --MODEL AKIWEKA SHADA LA MAUA
MAMA WA MAREHEMU NAYE AKIMALIZIA SHADA LA MAUA
Picha na Global publisher na Mwandishi Wetu Mussa Mkama