JUMAPILI YA TAREHE 18 MARCH 2012 LADY JAY DEE ATAKUWA DUKA LA SHEER ILLUSIONS MLIMANI CITY JIJINI DAR AKISIGN CD ZAKE AMBAZO ZITAKUWA ZIKIUZWA DUKANI HAPO...!!!

 
Jumapili ya tar 18 March 2012. kuanzia saa 9 Alasiri, tutakuwa Mlimani City ndani ya duka la Shear IllusionsKutakuwa na shughuli ya ku sign CD zitakazokuwa zinauzwa
Zoezi hilo ni la saa nzima na nusu tu (9:00 - 10:30 jioni)

Kwa sasa CD ya album YA 5 itakuwa inapatikana dukani hapo tu (SHEAR ILLUSIONS), tutawafahamisha zaidi sehemu zingine mapema iwezekanavyo
HABARI HII KWA HISANI YA -JESTINA BLOG