Swahili TV inakuletea kipindi maalumu sherehe za watanzania waishio DC, Maryland na Virginia walipokutana kwa siku maalum ya familia (Picnic Day) iliyofanyika Wheaton Reginal Park, MD, jumamosi August 17, 2013. Muhimu zaidi waliweza pia kuchangia rasimu ya marekebisho ya katiba mpya ya Tanzania.
SWAHILI TV KUTOKA WASHINGTON ILIKUWEPO LIVE KWENYE SHEREHE ZA WATANZANIA WAISHIO DC,MD,VA AMBAPO PIA WALICHANGIA MAONI YAO YA KATIBA MPYA !
Swahili TV inakuletea kipindi maalumu sherehe za watanzania waishio DC, Maryland na Virginia walipokutana kwa siku maalum ya familia (Picnic Day) iliyofanyika Wheaton Reginal Park, MD, jumamosi August 17, 2013. Muhimu zaidi waliweza pia kuchangia rasimu ya marekebisho ya katiba mpya ya Tanzania.
MANDELA FILAMU INAYOSUBILIWA KWA HAMU DUNIANI-IMECHEZWA NA "IDRIS ELBA " KUTOKA MAREKANI.

Idris Elba ni Mwigizaji Maarufu nchini Marekani ambaye ameigiza ile Filamu inayo subiliwa kwa hamu na watu wote duniani ya MANDELA.Mwandishi wetu DMK alibahatika kuonana na Idris siku ya jumatatu tarehe 21 Jijini Washington na Interview yake ya Papo kwa papo itarushwa hivi karibuni na Swahili TV.
Akizungumza juu ya Kiatu kikubwa ambacho amekivaa cha Mandela Mwigizaji huyo alisema it was an Honor kakwe yeye kupewa nafasi hiyo yakuigiza kama Mandela Mwana harakati anaye heshimika kuliko wote Duniani na alidai kuwa Filamu hiyo itakapo toka watu hawatakuwa disappointed.Filamu hiyo inaonyesha Maisha ya mandela wakati wakupigania ukombozi wa Africa ya Kusini hadi alivyo fungwa na kutoka mpaka kuwa Raisi wa kwanza Mweusi nchini Afrika ya Kusini....
angalia Trailler yake hapo chini...
AMBER ROSE...WIZ KHALIFA'S WIFE TWERKING IN HER WEDDING DRESS...WOW SO COOL !

Model,Actress, Mother and a Wife of a Rapper "amber Rose showing that she still got it in her wedding dress by twerking in front of her family and friends before the wedding Party in Philadelphia.
WanaDMV Mazoezii yananendelea leo Jumatatu Meadowbrook kwa ajili ya 2013 Annual Labor Day Soccer Tournament
WANADMV MAZOEZI YANAENDELEA LEO JUMATATU AUG 19, 2013 MEADOWBROOK PARK

WanaDMV yanaendelea leo Jumatatu Aug 19, 2013 kuanzia saa 11 jioni mazoezi yatafanyika Meadowbrook Park kwa ajili ya kucheza kwenye Labor Day Tounament itakayofanyika Aug 31, 2013 kama maelezo yanavyojieleza hapo chini na Jumapili Aug 25, 2013 tutacheza mechi ya kirafiki na Vitambi FC katika viwanja vya Layhill
Tafadhali tuzingatie muda na upatapo taarifa hii mtaarifu na mwenzio asante
VITAMBI FC and the greater
DMV Kenyan community invites you to the Annual
Labor Day Soccer Tournament. This is a family event to be held
on Saturday August 31st
at
Layhill Park, 14901 Layhill Road, Silver Spring. MD 20906.The games begin at 11.00AM EST and promise to be action packed. This year’s event brings together local and non-local teams representing an array of African countries. Some of the featured teams are:
·
VITAMBI FC
·
WATEMBEZI FC (BALTIMORE)
·
DC FLAMES (MALAWI)
·
NEW JERSEY STARS
T TANZANIA STARS DMV
Teams
are required to be at the tournament site by 10:00AM ESTThis event provides a fun opportunity for families to enjoy soccer, Bouncing castle, and field games for both children and adults. Food and refreshment will be available, especially the world famous Nyama Choma!
Local vendors are invited and encouraged to contact us for advertisement opportunities for their goods & services. This is a great opportunity to network while connecting with the community. Contact Erico at vitambifc@gmail.com with the subject “FAMILY COOKOUT” we will get back to you within 24 hours.
Thank you and we look forward to seeing you there!
KWETU FASHION- YATOA KITU KINGINE KIKALI !
FORMER MISS TEMEKE-CEO WA KWETU FASHION DESIGN
KAZI KWENU WAKINA DADA WAHI KABLA SUMMER HAIJAISHA
KWA KUWEKA ORDER PIGA SIMU NAMBA 301-910-4634
NYUMA YA PAZIA-R.KELLY.LIL WAYNE,BIRDMAN WAKIFANYA VIDEO YAO MPYA YA WIMBO WAO WA "WE BEEN ON"

Mwanamuziki Super Star R.Kelly akiwa katika moja ya Pozi ya Video shoot na Birdman wa Cash Money wakati wakufanya Video ya wimbo wao Mpya unaoitwa "WE BEEN ON" Ulioimbwa na R.Kelly,Birdman na Lil Wayne.



Kutokana na muonekano wa picha hizi tulizozipata inaonekana Video hiyo itakuwa balaaaaaaaaaaa..endelea kutembelea blog yetu tutailisha pindi tu itakapo toka.
Subscribe to:
Posts (Atom)

