"OMMY DIMPOZ" NA " SHILOLE" KUKINUKISHA WASHINGTON DC LABOR DAY WEEKEND WAKISINDIKIZWA NA '"OC" KUTOKA ZAMBIA
SHOW HII INAWAUNGANISHA WASANII WATATU KUTOKA TANZANIA NA SOUTH AFRICA YAANI PATA SHOW TATU KWA BEI YA SHOW MOJA.
OSCAR PISTORIUS KUACHIWA IJUMAA
Mwanariadha Oscar Pistorius.
Oscar Pistorius akiwa na mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Mwanariadha mahiri wa nchini Afrika Kusini, Oscar Pistorius anatarajiwa kuachiwa Ijumaa hii baada ya kuonyesha tabia nzuri akiwa gerezani. Pistorius alihukumiwa kifungo cha…
ALI KIBA NA NEYO...USO KWA USO
King Kiba kutoka Tanzania, anaye nyimbo kama “Mwana” na “Chekecha Cheketua” akutana na mwanamuziki kutoka amerikani: NE-YO, anayefahamika kama mwanamuziki na mwandikaji wa muziki bora kama “Let me love you,” “Sexy Love” and “She Knows”.
Hao wawili walikutana Nairobi katika Coke Studio Africa. Alikiba ni baadhi ya wanamuziki watano: Wangechi (Kenya), Dama Do Bling (Mozambique), Ice Prince (Nigeria) na Maurice Kirya (Uganda) pamoja na Alikiba. Wawili hao, pamoja na wenzao, walizugumzia muziki wa Afrika na pia kurecord nyimbo mpya.
King Kiba yuko Nairobi na anatarajiwa kufanya wimbo na hao wanamuziki katika format mpya ya Coke Studio Africa season 3, itakayozinduliwa mnamo Oktoba mwaka huu. Alikiba yuko Coke Studio Africa kwa mara ya kwanza msimu huu. Ashashirikiana na Victoria Kimani (Kenya na Tanzania) katika nyimbo za mash-up.
AISHA YAZINDULIWA KWA KISHINDO WILAYANI PANGANI
Filamu iliyopewa jina la AISHA imezunduliwa rasmi siku ijumaa ya tarehe 31/7/2015 wilayani Pangani chini ya shirika lisilo la kiserikali la UZIKWASA.
Aisha ni filamu ya tatu katika mfululizo wa filamu za UZIKWASA zikiangazia aina mbali mbali za unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto wa kike. Filamu hizi ni ni sehemu mojawapo tu ya njia za mawasiliano katika kampeni shirikishi-jamii ya mabadiliko ya tabia inayofahamika kama 'BANJA BASI'!, Pangani, Tanga.
Kabla ya filamu ya Aisha iliyozinduliwa kwa kishindo hivi karibuni, shirika la UZIKWASA tayari limeshatengeneza filamu nyenigne mbili ambazo ni FIMBO YA BABA na CHUKUA PIPI, wengi wa waigizaji waliomo ni wasanii wa vijijini.
THE INTRODUCTION OF - IBRAHIM MAX
Musician,Singer,Clothing Designer ,These are some of the many Talents from Maryland's resident Tanzanian born Ibrahim Max .In the coming weeks we will be showcasing all of his Ventures one by one from His Clothing Line to his latest Single.This article serves as the Introductions to the Man of So many Talents known as IBRAHIM MAX
Subscribe to:
Posts (Atom)