DIAMOND ALIVYO WACHENGUA NY.NJ

       Pamona na show kuchelewa kuanza na club kufungwa mapema wakazi wa NY.NJ walipata show kali kutoka kwa mkali huyo wa Bongo Flava
         SECURITY WALIFANYA KAZI KUBWA KUWAZUIA WAKINA DADA WASIMPANDIEpamoja nakazi nzuri ya Security Kinadada waliwezakuvamia Stage