DIAMOND PLATNUMZ - SAFARI RESTAURANT DC INAKUKARIBISHA MEET & GREAT YA DIAMOND LEO KUANZIA SAA 12 HADI SAA 2 JIONI (6PM-8PM)
Promoter DMK GLOBAL.........DIAMOND ..........The International DIAMOND DJ ROMY JONS.
MA Dancer wa Diamond (WASAFI) wakiwa na DJ wa Diamond (Romy Jons)Pamoja Mwenyeji wao Promoter (DMK) alipowakaribisha Dinner kwenye Restaurant yake ya "SAFARI" Washington DC
GALA DINNER YA AFRICAN DAY WASHINGTON, DC
Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali akiwa kwenye gwaride la bendera wakati hafla ya gala dinner ya African Day iliyofanyika Washington, DC siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya Marriott na kuhudhuriwa na watu zaidi ya 2,000. Afriacam day ya mwaka huu iliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania wakishirikiana na Ubalozi wa Rwanda
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akiwa kwenye gwaride la bendera wakati wa ufunguzi wa Gala dinner ya African Day siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya Marriott, Washington, DC.
Mabalozi wakisimama kwa nyimbo za taifa za Marekani na African Union.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni siku ya Jumanne May 27, 2014 siku ya African day iliyoadhimishwa Marriott ya Washington, DC.
Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mhe.Mathilde Munkanabana nae akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni.
Balozi wa kudumu wa African Union, Mhe. Amina Salum Ali akitoa hotuba.
Meya wa DC, Mhe.Vincent Gray akitoa hotuba.
Meya wa DC, Mhe. Vinceny Gray akimkabidhi hati ya baraza la jiji la DC Balozi wa kudumu wa African Union, Mhe. Amina Salum Ali ya Jiji la Washington, DC kutambua rasmi siku ya African Day.
Meya katika picha ya pamoja na waheshimiwa Mabalozi wa Rwanda, Tanzania na African Union.
Mwakilishi wa Serikali ya Marekani Mhe. Linda Thomas Greenfield akitoa hotuba.
kwa piidi bofya hapa
DUE TO THE OVERWHELMING RESPONSE -DIAMOND EAST COAST SHOW HAS BEEN MOVED TO THE BIGGER AND BETTER VENUE" IN NEW JERSEY
BAADA YA KUACHA HISTORIA DALLAS NA HOUSTON SASA NI ZAMU YA EAST COAST
FOR INFO PLZ CALL
DMK-301-661-6207 ..INNO-713-373-6525 ..PETER-240-605-1870...JAHAZI -201-673-4282
DIAMOND KUWARUSHA WAKAZI WA EAST COAST MAREKANI..NEW YORK..NEW JERSEY..BOSTON...DE..NC..OH..DC..JUMAMOSI HII MAY 31 PALE ELIZABETH CITY NJ.
BAADA YA KUACHA HISTORIA DALLAS NA HOUSTON SASA NI ZAMU YA EAST COAST
FOR INFO PLZ CALL
DMK-301-661-6207 ..INNO-713-373-6525 ..PETER-240-605-1870...JAHAZI -201-673-4282
UPDATE: Jay Z,Beyoncé and Solange Reunited in New Orleans..Mambo Shwariiiiiiiiii
We can all lay the Carter-Knowles family drama to rest. The latest photographic evidence that all is well post-elevator fight is a pic of Jay Z joining his wife Beyoncé, mother-in-law Tina Knowles and sister-in-law Solange Knowles for lunch in New Orleans. As previously reported, the sisters got together for a photo-op on Saturday that Bey shared on her Instagram page. Now, in a pic posted on her
KENYA MORE NAKED FOR A CALENDAR
BREAKING NEWS...JUST ADDED "AJ UBAO" & DIRTY HERRY TO PERFORM ALONGSIDE DIAMOND PLATNUMZ IN HOUSTON TEXAS THIS MEMORIAL MAY 25 !
BRAND NEW HITS FROM AJ & DIRTY HERRY ON THE STAGE WITH WCB
#WE SUPPORT OUR TALENTS#ENT WILL BE TELEVISED ON THE RED CARPET#
GET YOUR TICKETS NOW WWW.DIAMONDUSATOUR.COM
DIAMOND SHOW HOUSTON TX MAY 25...RED CARPET YA NGUVU..PAPARAZZI WAKUMWAGA..TANGAZA BIASHARA YAKO KWA BEO POA!
TANGAZA BIASHARA YAKO KWA BEI POA KWENYE RED CARPET AMBALO LINASADIKIWA KUWA LITAVUNJA RECORD ZOTE ZA WANAMUZIKI WA EAST AFRIKA WALIOWAHI KUJA AMERICA..
PIGA SIMU # 301-661-6207 : 240-605-1870 : 713-373-6525
TICKET ZA SHOW INGIA WWW.DIAMONDUSATOUR.COM
NAY AVUNJA NDOA YA SKAINA WA BONGO MOVIE
Skaina
SASA hakuna ubishi kuwa, ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na kuvunjika kabla ya mwezi mmoja kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na Saad Omar, chanzo ni Mwanabongo Fleva, Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’.
Habari za awali zilisema kuwa, ndoa ya Skaina iliingia mdudu baada ya mumewe kugundua kuwa alinunua ‘mbuzi kwenye gunia’, kwani bidada huyo alikuwa na ujauzito wa mtu mwingine.Hata hivyo, minong’ono ilikuwa inasema kuwa, mimba hiyo ilikuwa ya Nay ingawa awali, hakuna aliyekuwa tayari kufafanua kuhusiana na ishu hiyo.
DIAMOND AFAGIA KILIMANJARO AWARDS..ASHINDA TUZO 7!
Diamond akiwa na Moja ya Tuzo akitoa shukrani
Diamond na Mpenzi wake Wema
Msanii wa kizazi kipya, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinumz leo May 3, 2014 amedhihirisha kuwa yeye ni msanii mkali kwa kuchukua tuzo saba katika Tuzo za KILIMANJARO 2014 (KTMA).
Diamond amejinyakulia tuzo:
Msanii Bora wa Kiume,
Video Bora ya Mwaka.
Mtumbuizaji bora wa Muziki wa Kiume.
Wimbo Bora wa Afro Pop.
Wimbo Bora wa Mwaka.
Mtunzi Bora wa mwaka Kizazi Kipya.
Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana.
Hakika Diamond ameonyesha ukali wake, na kuonyesha kuwa yeye ni bora zaidi na anapendwa na watu.
Juu na chini Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakikamua wimbo wao maalufu w "Me and U"
KUTOKA FACEBOOK RIDHIWANI AMPONGEZA DIAMOND KWA KUSHINDA KWA KISHINDO KTM
Kwanza Hongera sana kwa kushinda Kili Awards.Hii ni zawadi nzuri unayoweza kupata baada ya Jitihada,Kujituma, na Burudani nzuri kwa washabiki wako.Mungu akujalie mema zaidi ya hapo.Hongera sana Platnumz.
DC Goverment wavutiwa na mitindo ya Kwetu fashion walioyaona siku ya Muungano Day – 50. Embassy of Tanzania Washington D.C
2014 all America Embassies festival event by DC Goverment.The largest festival in the universe has picked KWETU FASHION DESIGN to represent African union in a blockbuster fashion show. Venue: THE EMBASSY ROW HOTEL 2015 Massachusetts Ave. Nw 20036.Lincoln Ball Room Time 2-4pm .
Please come and join us to showcase our motherland Afrika. Other activities includes,Arabic cultural art facts and Arabian music concert featured byArab League .European union cultural displays and many more international activities will be presented.No entrance fee is involve.
Subscribe to:
Posts (Atom)