SHILOLE ALIPOFANYA ZIARA VOA


Shilole alipofanya ziara yake nchini  Marekani alipata ya kutembelea idhaa ya Kiswahili ya VOA na kufanya mahojiano na Sunday Shomari bofya hapa kuungana naye alipokuwa ndani ya studio za VOA akieleza yale aliyoyapata Marekani na siri ya staili ya muziki wake.Hii ikiwa ni sehemu ya Kwanza.

http://www.voaswahili.com//media/all/latest.html?z=3149