KUTOKANA NA PILIKA PILIKA ZA SHEREHE YA MIAKA 3 YA VIJIMAMBO NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI KIJIWE CHA UGHAIBUNI HAKITAKUWA HEWANI

 Kutokana na heka heka ya matayarisho ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani kile kipindi chako ukipendacho kinachorushwa kila Jumanne na blog zote hakitakuwa hewani Jumanne July 2, 2013 Wanakijiwe na kruu nzima wanaomba radhi kwa usumbufu wote utakaotokea lakini tunakuahidi Jumanne July 9, 2013 kipindi chako kitarudi hewani kwa nguvu zote.
Wanakijiwe na kruu nzima ikiwa nje ya mjengo wa Kijiwe cha Ughaibuni