SWAHILI RADIO ONLINE SASA NDIYO HABARI YA MJINI -IKITANGAZA TOKA WASHINGTON DC!

                                             
     KAMPUNI YA  SWAHILI MEDIA INTERNATIONAL (MMK) Inapenda kuwatangazia kwamba,
Baada ya Kutokuwa hewani kwa Zaidi ya siku 13 kwa sababu za kiufundi na marekebisho ya System zetu,Sasa tumerudi hewani full speed,tukiwa na program zetu zote mzipendazo pamoja na nyingine nyingi zinakuja.
     Lengo letu ni kuielimisha na kuiburudisha jamii kupitia katika njia ya mtandao kwani kama mnavyojua Online Radio is the Future and Swahili Radio online Imejidhatiti kuzikonga nyoyo zenu na pia msisite kutoa maoni yenu ili tuweze kuiboresha radio yenu zaidi kwani lengo letu ni kuifanya Swahili Radio kuwa "The Number One International Online Radio !
    Unaweza tusikiliza kwenye Simu zote za mkononi na Desk top Computer kupitia APP ya TUNE IN.Dowload Tune In App katika simu yako alafu Tafuta Swahili Radio,Ukiona hii Logo hapo juu Ndiyo habari ya Mjini.
         "SWAHILI RADIO CONNECTING THE WORLD 6 CONTINENT AT A TIME "