MWIMBAJI WA INJILI MILKA KAKETE ATEMBELEA VOA

010Mwimbaji wa nyimbo za Injili Milka Kakete kutoka Canada alipotembelea idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika akiwa Sunday Shomari na mkuu wa idhaa hiyo Mwamoyo Hamza mwishoni mwa juma. 013Milka Kakete na mume wake Bw.Kakete na mkuu wa idhaa ya Kiswahili Mwamoyo Hamza ndani ya studioz alipofanya ziara na mahojiano na idhaa hiyo mwishoni mwa juma. Mwanamuziki huyo alitembelea jijini Washington Dc kwa tamasha maalum la X-Mass katika kanisa la Bethel Kingdom.