MILEY CYRUS GOING CRAZY ....EVEN WHEN PERFORMING FOR CHRISTMAS

               
     Je unakumbuka ni hivi majuzi tu Miley alikuwa kipenzi cha watoto kwenye Disney Chanel? Basi enzi hizo zimepita kwani sikuhizi huyu ndie Miley bint Cyrus ambaye huwezi hata kuwaambia watoto wako wamwangalie kwenye TV.
    Miley amekuwa akifanya show zake namna hii karibu kila show kuanzia kwenye show ya MTV Awards alipoimba na Robin Thickie.
                      
                                                              Miley kulikoni????/
                   
                Miley na madensa wake wakiwa kazini kwenye show ya Christmas ya I heart radio

           Pia amekuwa na scandal nyingi za kuvuta bangi ikiwa ni pamoja na kuachwa na aliyekuwa mchumba wake mcheza Sinema maarufu baada ya kushindwa na tabia za Miley za sasa.
      Wazazi wengi marekani sasa hawataki watoto wao hata wasikilize nyimbo za Miley..kusema ukweli hata mimi sitaki my daughter amsikilize.