
Paul and Peter mapacha wa P Square..wakiwa katika Sebure ya nyumba yao..the definition of amazing

Peter akiwa amepoz kwa poz ndani ya Squareville living room huko Nigeria

Paul mdogo wake Peter......katikati ya sebure yao

Na hapa ndio kwenye ile Dining room yao.....ama kweli pesa sabuni ya roho..
na Mwandishi wetu DMK