MKURUGENZI WA MISS TANZANIA HASHIM LUNDENGA AMPONGEZA BRIGGITTE..AMWITA SHUJAA !


Brigitte akiwa na Mkurugenzi wa Miss Tanzania Ndugu Hashim Lundenga ,Pamoja na Mama yake
        
Bwana Lundenga aliyasema hayo wakati wa Hafla ya kumpongeza Brigitte kwa kushika nafasi ya # kwenye kipengele cha Miss World cha Urembo wenye malengo maalu.Wawakilishi wote wa Miss World walichuana katika kipengele hicho na Mtanzania huyo ambaye ni Miss Tanzania 2012 alishika nafasi ya pili.
     Lundenga alisema nafasi hiyo niya juu na haijawahi kushikwa na mtanzania yoyote huvyo watanzania wote tujivunie ushindi huo kwani Brigitte aliwashinda warembo wote kutoka nchi zote za dunia walioshiriki nakushika nafasi hiyo yatatu.
    Pia alimpongeza mama yake Brigitte kwakuwa bega kwa bega kumsuport  mwanae nakusema ni mfano wakuigwa.Pia aliitumia nafasi hiyo kuwashukuru Redd's ambao ndio wadhamini wa Miss Tanzania na pia ndio waliodhamini sherehe hiyo.