OMMY DIMPOZ ATEMBELEA STUDIO ZA SAUTI YA AMERICA (VOICE OF AMERICA "VOA") ASEMA JUMAMOSI WASHINGTON DC WATEGEMEE MAMBO !


DIMPOZ AKIPOZI MBELE YA JENGO LA VOICE OF AMERICA


POZ KWA POZ AMEPOZ KABLA YA INTERVIEW

MTANGAZAJI MASHUHULI SUNDAY SHOMARI  AKIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO

      POZ KWA POZI AKIJIBU MASWALI YENYE UTATA KUTOKA KWA SUNDAY SHOMARY
          LARY KING WA VOA NAYE ALIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO
                                  BABU ALIKUWA ANAULIZA MASWALI YA KUFURAHISHA TU !

       PROMOTER/MANAGER WA DIMPOZ USA TOUR  BWANA "DMK" MWENYE TSHIRT NYEKUNDU AKIFURAHIA JAMBO PAMOJA NA SUNDAY SHOMARY NA DIMPOZ
POZ KWA POZ NDANI YA MITAA YA WASHINGTON DC AKIWA AMECHILL MBELE YA GARI LA PROMOTER/ USA TOUR MANAGER WAKE BWANA DMK


DIMPOZ NA DMK WAKIWA BUSY KWENYE TEXT WAKIPOKEA REQUEST NYINGI ZA TICKET ZA SHOW
CAMERA YA SWAHILI TV AMBAO NDIO WADHAMINI WA DIMPOZ USA TOUR ITAENDELEA KUKULETEA HABARI EXCLUSIVE ZA DIMPOZ AKIWA MITAANI USA.
ENDELEA KUSIKILIZA SWAHILI RADIO ONLINE NA KUSOMA WWW.SWAHILITV.BLOGSPOT.COM KUWEZA KUJISHINDIA FREE TICKETS.